Ezekiel 21:9-11

9 a“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: “ ‘Upanga, upanga,
ulionolewa na kusuguliwa:

10 bumenolewa kwa ajili ya mauaji,
umesuguliwa ili ung’ae
kama umeme wa radi!

“ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unaidharau kila fimbo ya namna hiyo.

11 c“ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa,
ili upate kushikwa mkononi,
umenolewa na kusuguliwa,
umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji.
Copyright information for SwhKC